Mwezi Mtukufu wa Ramadhan (20)
-
KiswahiliMpango wa Qur'ani wa Watoto Wazinduliwa Bainul Haramayn katika Mwezi wa Ramadhani
Kituo cha Qur'ani cha Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas (AS) kimezindua toleo la tatu la mpango wake maalum wa Qur'ani kwa watoto na vijana katika eneo la Bainul Haramayn, Karbala.
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na tatu
Ee Mwenyezi Mungu! Nitakase nitokamane na taka na uchafu (mwengine), Unipe subira (ili nisubiri) katika mwezi huu juu ya matukio ya Kudira zako, Uniwafikie kwenye kukucha (kukuogopa) na kusuhubiana…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na mbili
Ee Mwenyezi Mungu! Nipambe katika mwezi huu wa Ramadhani kwa sitara yaani (vazi) la kukuogopa, na Unisitiri katika mwezi huu kwa vazi la kukinai na kutosheka, na Unielekeze katika mwezi huu kwenye…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na moja
Ee Mwenyezi Mungu! Nijaalie nipende sana kutenda mema katika mwezi huu, na Unichukizishe katika mwezi huu kutenda maovu na uasi. Unikingie katika mwezi huu hasira zako na moto kutokana na msaada…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi
Ee Mwenyezi Mungu! Nijaalie katika mwezi huu niwe mwenye kukutegemea, pia Unijaalie miongoni mwa watakaofuzu kwako, pia nijaalie katika mwezi huu niwe miongoni mwa watakaokurubishwa kwako kwa…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya tisa
Ee Mola wangu! nijaalie katika mwezi huu nilipate fungu la rehema zako pana, Uniongoze katika mwezi huu kwenye mwanga wako unaong'ara, na Uniongoze moja kwa moja kwenye radhi yako yenye kukusanya…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya nane
Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku katika mwezi huu (ili niweze) kuwasaidia mayatima, niwalishe vyakula, pia nijaalie niweze kuwasalimia (Waislamu wote) kila nikutanapo nao, Unijaalie kuhusubiana na…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya sita
Ee Mwenyezi Mungu! Usinidhalilishe katika mwezi huu kama kilipizo cha kukuasi kwangu, na wala Usinipige katika mwezi huu kwa mjeledi wa maangamizo yako na Uniepushie mbali na mambo yote yawezayo…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya nne
Ee Mwenyezi Mungu! Nipe nguvu za kuniwezesha kufuata amri zako, Unionjeshe katika mwezi huu Utamu ya kukutaja (kila wakati), Uniwezeshe kutekeleza wajibu wa kukushukuru neema zako na Unihafidhi…
-
KiswahiliProgramu za huduma na utamaduni wa Madhabahu (Haram) Tukufu ya Hazrat Abbas (AS) wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Hazwa / Madhabahu Tukufu ya Hazrat Abbas (amani iwe juu yake), imepitisha programu kadhaa za huduma na kitamaduni za kuwapatia Mazuwwari katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya tatu
Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku katika mwezi huu uekevu na uzinduko, Uniepushe Ubaradhuli na upumbavu, na Unijaalie kupata fungu la kila heri itakayoshuka katika mwezi huu ewe Mbora wa wanaokarimu.
-
Ayatollah Al-Udhma Shabiri Zanjani alisema:
KiswahiliUmuhimu wa Mwezi wa Ramadhani katika Sala ya Amirul Muminin (AS)
Hawza / Mwezi wa Ramadhani ulipokuwa ukiingia, Hadhrat Ali (a.s) alikuwa akielekea Kibla kisha anaomba dua namna hii: Eee Mwenyezi Mungu! Ufanye Mwezi huu kuwa mpya kwetu kwa usalama, imani,…
-
Dkt. Samia Suluhu Hassan:
KiswahiliTuwapende na Kuwakirimu Mayatima
Hawza / Uislamu umetuelekeza na kutuhimiza kuwapenda, kuwakirimu na kuwahurumia Mayatima, na kutokuwaonea.
-
Sheikh Walid Al-Hadi:
KiswahiliChochote unachokijua kuwa hiki kina kheri, basi usiache kupambana kukifanya
Hawza / Kumswalia Mtume wetu Muhammad (s.a.w.w) kwa wingi ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuna kheri nyingi.
-
Afisa wa vyombo vya habari vya Seminari na Kituo cha anga za juu alitangaza:
KiswahiliKupanua shughuli za shirika la habari katika lugha 11 / Hitaji la kuimarisha zana za vyombo vya habari vya ndani ili kukabiliana na udhibiti wa kimataifa
Leo, habari za Seminari (Hawza) zinachapishwa katika lugha 11, na Mwenyezi Mungu akipenda, ifikapo mwisho wa mwaka, tovuti za lugha hizi zote zitaamilishwa kikamilifu.
-
Ayatollah Mkuu Javadi Amoli:
KiswahiliRamadhani ni wakati wa utakaso wa nyoyo
Hawza / Hazrat Ayatollah Javadi Amoli amefafanua: Moyo sio kama dimbwi ambalo maji yake yanaweza kusafishwa kwa urahisi, au kama mkondo na vijito vidogo ambavyo ni rahisi kusafisha [badala yake]…
-
KiswahiliSifa Kuu Tatu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ni bora zaidi kuliko Miezi mingine na Masiku yake ni Masiku Bora kuliko Masiku Mengine.
-
Kwa Mnasaba wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan wa mwaka 1446 Hijria:
KiswahiliKauli mbiu yetu; Ramadhan katika kumtumikia Mwanadamu
Hawza / kwa mnasaba wa kuanza kwa Mwezi wa Ramadhan wa mwaka 1446 Hijria, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithna Ashari Tanzania, Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, ametoa Salam za hongera…
-
KiswahiliVideo / Licha ya uharibifu mkubwa, wanajiandaa kwa ajili ya Ramadhani
Hawza / Watu wa Gaza wanajiandaa kusherehekea mwezi mtukufu wa Ramadhani licha ya uharibifu mkubwa.
-
KiswahiliSherehe za kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani zimefanyika Hyderabad, India
Hawza / Jumuiya ya Ulamaa na Makhatibu wa Hyderabad, India lilifanya sherehe kubwa ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.