Tuesday 4 March 2025 - 09:41
Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya tatu

Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku katika mwezi huu uekevu na uzinduko, Uniepushe Ubaradhuli na upumbavu, na Unijaalie kupata fungu la kila heri itakayoshuka katika mwezi huu ewe Mbora wa wanaokarimu.

Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya tatu:

اللّهُمَّ ارْزُقْنِی فِیهِ الذِّهْنَ وَالتَّنْبِیهَ، وَباعِدْنِی فِیهِ مِنَ السَّفاهَةِ وَالتَّمْوِیهِ، وَاجْعَلْ لِی نَصِیباً مِنْ کلِّ خَیرٍ تُنْزِلُ فِیهِ، بِجُودِک یا أَجْوَدَ الْأَجْوَدِینَ.

Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku katika mwezi huu uekevu na uzinduko, Uniepushe Ubaradhuli na upumbavu, na Unijaalie kupata fungu la kila heri itakayoshuka katika mwezi huu ewe Mbora wa wanaokarimu.

Sikia

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha