Hadhrat Ayatollah Jawadi A'mouli, katika hafla ya kuwavisha kilemba wanafunzi, alizingatia uhusiano wa kweli na Imam (a.t.f.s) kuwa ndio sababu ya kuiweka jamii hai na kukabiliana na ujinga (ujahili)…
Jamii inayongojea ni jamii inayongojea siku iliyoahidiwa kwa imani thabiti juu ya Imam wa Zama (a.t.f.s) na kupenda uadilifu (na haki).Jamii hii sio tu kwamba ina matumaini ya kudhihiri kwa Imam…
Mjumbe wa Baraza Kuu la Seminari (Hawza) za Kitheolojia alisema kwamba kuanzishwa kwa jamii ya uadilifu wa Ulimwengu wote katika Sayari ya Dunia ni mojawapo ya mila za kimungu zisizoweza kukiukwa…
Haram Tukufu la Amirul- Muuminana Ali (a.s) imepambwa kwa vitambaa (na mabango) vyenye maandishi Mahdawi (yenye jina la Imam Mahdi) pamoja maua ya rangi mbalimbali.
Baada ya kukaribia Siku ya katikati (nusu) ya Sha'ban, idara ya kudumisha Utaratibu katika Haram ya Imam Hussein (a.s) imetangaza kwamba hatua zote muhimu zimechukuliwa kwa ajili ya sherehe hiyo…
Wadai wa uwongo wa uhusiano na Imam wa Zama (a.t.f.s) ni jambo lililoenea katika Dini zote, ambao hujaribu kuwahadaa watu kwa kutegemea ndoto na maono, wanawapinga wanazuoni na kuendeleza uwongo…
Hadhrat Ayatollah Nouri Hamedani ameeleza kuwa Mahakama inapaswa kuingilia kati kutatua matatizo ya wananchi kwa kuwasimamia viongozi na akasema: Matarajio ya mwisho ya wananchi ni kupata Haki…
Kikao kisicho cha kawaida cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ch kuchunguza njama ya Marekani na Israel ya kuwaondoa kwa nguvu watu wa Gaza, kitafanyikandani…
Semina ya kitamaduni na kielimu iliyopewa jina “Utangulizi wa Mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu katika Nyanja ya Wanawake” iliandaliwa jijini Dar es Salaam, Tanzania, Jumatatu.
Baada ya Papa Francis kukosoa vikali sera ya kuwafukuza wahamiaji chini ya amri ya utendaji ya Trump, Tom Homan, Mkuu wa masuala ya mpaka katika utawala wa Trump, alijibu maoni yake Jumanne na…