Dua za kila siku (13)
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na tatu
Ee Mwenyezi Mungu! Nitakase nitokamane na taka na uchafu (mwengine), Unipe subira (ili nisubiri) katika mwezi huu juu ya matukio ya Kudira zako, Uniwafikie kwenye kukucha (kukuogopa) na kusuhubiana…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na mbili
Ee Mwenyezi Mungu! Nipambe katika mwezi huu wa Ramadhani kwa sitara yaani (vazi) la kukuogopa, na Unisitiri katika mwezi huu kwa vazi la kukinai na kutosheka, na Unielekeze katika mwezi huu kwenye…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na moja
Ee Mwenyezi Mungu! Nijaalie nipende sana kutenda mema katika mwezi huu, na Unichukizishe katika mwezi huu kutenda maovu na uasi. Unikingie katika mwezi huu hasira zako na moto kutokana na msaada…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi
Ee Mwenyezi Mungu! Nijaalie katika mwezi huu niwe mwenye kukutegemea, pia Unijaalie miongoni mwa watakaofuzu kwako, pia nijaalie katika mwezi huu niwe miongoni mwa watakaokurubishwa kwako kwa…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya tisa
Ee Mola wangu! nijaalie katika mwezi huu nilipate fungu la rehema zako pana, Uniongoze katika mwezi huu kwenye mwanga wako unaong'ara, na Uniongoze moja kwa moja kwenye radhi yako yenye kukusanya…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya nane
Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku katika mwezi huu (ili niweze) kuwasaidia mayatima, niwalishe vyakula, pia nijaalie niweze kuwasalimia (Waislamu wote) kila nikutanapo nao, Unijaalie kuhusubiana na…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya saba
Ee Mwenyezi Mungu! Niwezeshe na Unipe Nguvu za kufunga (mwezi huu wa Ramadhani wote) na kusimama kwa ibada (zinginezo kama sala n.k.) na Uniepushe na matelezo mbali mbali na madhambi katika mwezi…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya sita
Ee Mwenyezi Mungu! Usinidhalilishe katika mwezi huu kama kilipizo cha kukuasi kwangu, na wala Usinipige katika mwezi huu kwa mjeledi wa maangamizo yako na Uniepushie mbali na mambo yote yawezayo…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya tano
Ee Mwenyezi Mungu! Nijaalie katika mwezi huu niwe miongoni mwa wanaoomba maghfira (kwa wingi), pia nijaalie niwe miongoni mwa waja wako wema walio wanyenyekevu, Unijaalie niwe miongoni mwa watu…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya nne
Ee Mwenyezi Mungu! Nipe nguvu za kuniwezesha kufuata amri zako, Unionjeshe katika mwezi huu Utamu ya kukutaja (kila wakati), Uniwezeshe kutekeleza wajibu wa kukushukuru neema zako na Unihafidhi…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya tatu
Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku katika mwezi huu uekevu na uzinduko, Uniepushe Ubaradhuli na upumbavu, na Unijaalie kupata fungu la kila heri itakayoshuka katika mwezi huu ewe Mbora wa wanaokarimu.
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya pili
Ewe Mola wangu! Nikurubishe katika mwezi huu karibu na radhi yako.
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kwanza
Ee Mwenyezi Mungu! Kujaalie kufunga kwangu katika mwezi huu kuwe ni kufunga kwa wanaofunga (Saumu zao zikawa sahihi na kukubaliwa).