Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya tisa:
اللّهُمَّ اجْعَلْ لِی فِیهِ نَصِیباً مِنْ رَحْمَتِک الْواسِعَةِ، وَاهْدِنِی فِیهِ لِبَراهِینِک السّاطِعَةِ، وَخُذْ بِناصِیتِی إِلی مَرْضاتِک الْجامِعَةِ، بِمَحَبَّتِک یا أَمَلَ الْمُشْتاقِینَ.
Ee Mola wangu! nijaalie katika mwezi huu nilipate fungu la rehema zako pana, Uniongoze katika mwezi huu kwenye mwanga wako unaong'ara, na Uniongoze moja kwa moja kwenye radhi yako yenye kukusanya mahaba yako (yaani mambo yote Unayoyapenda na kuyaridhia) Ewe Karim.
Your Comment