Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya sita:
اللّهُمَّ لَاتَخْذُلْنِی فِیهِ لِتَعَرُّضِ مَعْصِیتِک، وَلَا تَضْرِبْنِی بِسِیاطِ نَقِمَتِک، وَزَحْزِحْنِی فِیهِ مِنْ مُوجِباتِ سَخَطِک، بِمَنِّک وَأَیادِیک یا مُنْتَهی رَغْبَةِ الرَّاغِبِینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Usinidhalilishe katika mwezi huu kama kilipizo cha kukuasi kwangu, na wala Usinipige katika mwezi huu kwa mjeledi wa maangamizo yako na Uniepushie mbali na mambo yote yawezayo kunitumbukiza katika hasira zako, (nakuomba Unitakabalie maombi yangu haya) kwa Ukarimu wako na Baraka zako Ewe Mwombwa.
Your Comment