Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi:
اللّهُمَّ اجْعَلْنِی فِیهِ مِنَ الْمُتَوَکلِینَ عَلَیک، وَاجْعَلْنِی فِیهِ مِنَ الْفائِزِینَ لَدَیک، وَاجْعَلْنِی فِیهِ مِنَ الْمُقَرَّبِینَ إِلَیک، بِإِحْسانِک یا غایةَ الطَّالِبِینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Nijaalie katika mwezi huu niwe mwenye kukutegemea, pia Unijaalie miongoni mwa watakaofuzu kwako, pia nijaalie katika mwezi huu niwe miongoni mwa watakaokurubishwa kwako kwa Wema wako Ewe mpaji wa wanaoomba.
Your Comment