Friday 14 March 2025 - 16:10
Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na tatu

Ee Mwenyezi Mungu! Nitakase nitokamane na taka na uchafu (mwengine), Unipe subira (ili nisubiri) katika mwezi huu juu ya matukio ya Kudira zako, Uniwafikie kwenye kukucha (kukuogopa) na kusuhubiana na wema, kwa msaada wako Ewe Kiburudisho (kitulizo) cha macho ya walio maskini.

Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na tatu:

اللّهُمَّ طَهِّرْنِی فِیهِ مِنَ الدَّنَسِ وَالْأَقْذارِ، وَصَبِّرْنِی فِیهِ عَلَی کائِناتِ الْأَقْدارِ، وَوَفِّقْنِی فِیهِ لِلتُّقی وَصُحْبَةِ الْأَبْرارِ، بِعَوْنِک یا قُرَّةَ عَینِ الْمَساکینِ.

Ee Mwenyezi Mungu! Nitakase nitokamane na taka na uchafu (mwengine), Unipe subira (ili nisubiri) katika mwezi huu juu ya matukio ya Kudira zako, Uniwafikie kwenye kukucha (kukuogopa) na kusuhubiana na wema, kwa msaada wako Ewe Kiburudisho (kitulizo) cha macho ya walio maskini.

Sikia

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha