Thursday 6 March 2025 - 10:50
Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya tano

Ee Mwenyezi Mungu! Nijaalie katika mwezi huu niwe miongoni mwa wanaoomba maghfira (kwa wingi), pia nijaalie niwe miongoni mwa waja wako wema walio wanyenyekevu, Unijaalie niwe miongoni mwa watu wako walio karibu nawe kwa huruma yako Ewe Mhurumivu wa wanaohurumia.

Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya tano:

اللّهُمَّ اجْعَلْنِی فِیهِ مِنَ الْمُسْتَغْفِرِینَ، وَاجْعَلْنِی فِیهِ مِنْ عِبادِک الصَّالِحِینَ الْقانِتِینَ، وَاجْعَلْنِی فِیهِ مِنْ أَوْلِیائِک الْمُقَرَّبِینَ، بِرَأْفَتِک یا أَرْحَمَ الرَّاحِمِینَ.

Ee Mwenyezi Mungu! Nijaalie katika mwezi huu niwe miongoni mwa wanaoomba maghfira (kwa wingi), pia nijaalie niwe miongoni mwa waja wako wema walio wanyenyekevu, Unijaalie niwe miongoni mwa watu wako walio karibu nawe kwa huruma yako Ewe Mhurumivu wa wanaohurumia.

Sikia

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha