Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya nane:
اللّهُمَّ ارْزُقْنِی فِیهِ رَحْمَةَ الْأَیتامِ، وَ إِطْعامَ الطَّعامِ، وَ إِفْشاءَ السَّلامِ، وَصُحْبَةَ الْکرامِ، بِطَوْلِک یا مَلْجَأَ الْآمِلِینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku katika mwezi huu (ili niweze) kuwasaidia mayatima, niwalishe vyakula, pia nijaalie niweze kuwasalimia (Waislamu wote) kila nikutanapo nao, Unijaalie kuhusubiana na watukufu (uwapendao) kwa utajiri wako Ewe Makimbilio wa wahitaji.
Your Comment