Wednesday 5 March 2025 - 13:50
Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya nne

Ee Mwenyezi Mungu! Nipe nguvu za kuniwezesha kufuata amri zako, Unionjeshe katika mwezi huu Utamu ya kukutaja (kila wakati), Uniwezeshe kutekeleza wajibu wa kukushukuru neema zako na Unihafidhi katika mwezi huu katika ulinzi wako wa sitara yako Ewe Mwenye kuona zaidi ya waoni.

Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya nne:

اللّهُمَّ قَوِّنِی فِیهِ عَلَی إِقامَةِ أَمْرِک، وَأَذِقْنِی فِیهِ حَلاوَةَ ذِکرِک، وَأَوْزِعْنِی فِیهِ لِأَداءِ شُکرِک بِکرَمِک، وَاحْفَظْنِی فِیهِ بِحِفْظِک وَسَِتْرِک، یا أَبْصَرَ النَّاظِرِینَ.

Ee Mwenyezi Mungu! Nipe nguvu za kuniwezesha kufuata amri zako, Unionjeshe katika mwezi huu Utamu ya kukutaja (kila wakati), Uniwezeshe kutekeleza wajibu wa kukushukuru neema zako na Unihafidhi katika mwezi huu katika ulinzi wako wa sitara yako Ewe Mwenye kuona zaidi ya waoni.

Sikia

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha