Monday 3 March 2025 - 11:32
Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya pili

Ewe Mola wangu! Nikurubishe katika mwezi huu karibu na radhi yako.

Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya pili:

اللّهُمَّ قَرِّبْنِی فِیهِ إِلی مَرْضاتِک، وَجَنِّبْنِی فِیهِ مِنْ سَخَطِک وَنَقِماتِک، وَوَفِّقْنِی فِیهِ لِقِراءَةِ آیاتِک، بِرَحْمَتِک یا أَرْحَمَ الرَّاحِمِینَ.

Ewe Mola wangu! Nikurubishe katika mwezi huu karibu na radhi yako, na uniepushe katika mwezi huu hasira zako na maangamizo yako, na Uniwafikie niweze kukisoma kitabu chako Qur'ani Ewe Mrehemevu mno.

Sauti

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha