Ewe Mola wangu! Nikurubishe katika mwezi huu karibu na radhi yako.
Ee Mwenyezi Mungu! Kujaalie kufunga kwangu katika mwezi huu kuwe ni kufunga kwa wanaofunga (Saumu zao zikawa sahihi na kukubaliwa).
Siku ya tarehe mbili Machi ndio siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.