Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kwanza:
اللّهُمَّ اجْعَلْ صِیامِی فِیهِ صِیامَ الصَّائِمِینَ، وَقِیامِی فِیهِ قِیامَ الْقائِمِینَ، وَنَبِّهْنِی فِیهِ عَنْ نَوْمَةِ الْغافِلِینَ، وَهَبْ لِی جُرْمِی فِیهِ یا إِلهَ الْعالَمِینَ، وَاعْفُ عَنِّی یا عافِیاً عَنِ الْمُجْرِمِینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Kujaalie kufunga kwangu katika mwezi huu kuwe ni kufunga kwa wanaofunga (Saumu zao zikawa sahihi na kukubaliwa). Na kusimama kwangu kwa ibada kuwe sawa na wanaofanya ibada (zao zikapokelewa), na Uniepushe na usingizi wa wavivu, niwezeshe niukamilishe Ewe Mola wa Walimwengu, na Uniafu Ewe Mwenye kuwasamehe wakosaji.
Your Comment