Kulingana na kundi la Tarjama la Shirika la Habari la Hawza, sherehe kubwa imefanywa na Baraza la Ulamaa na Makhatibu la Hyderabad, India, katika kukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Sherehe hii ambayo imefanyika kwa anuani ya “Kuikaribisha Ramadhan na Mkutano Mkuu wa Baraza” iliundwa kwa lengo la kutafakari kwa pamoja juu ya umuhimu wa Mwezi huu Mtukufu na kuchunguza masuala mbalimbali ya jamii ya Kiislamu.
Your Comment