Kwa mujibu wa kundi la Tarjama la Shirika la Habari la Hawza, watu wa Gaza wanajiandaa kwa ajili ya kuadhimisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani licha ya uharibifu mkubwa uliosababishwa na Miezi 15 ya vita na mauaji ya kimbari ya utawala haram wa Israel dhidi ya Palestina.
Your Comment