Jumuiya ya Kimataifa (7)
-
KiswahiliMhubiri wa Kiroho wa Lebanon: Mpango wa Amerika wa kuwahamisha watu wa Gaza ni jaribio la kuunda janga jipya
Mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Tiro na vitongoji vyake amesema: Mpango wa Marekani wa kuuacha mtupu Ukanda wa Gaza kwa kuwahamisha wakaazi wake hadi nchi jirani ni jaribio la kuunda janga jipya.
-
Makamu wa Rais wa Baraza la Mshikamano la Kitaifa la Pakistan:
KiswahiliMsimamo wa watu wa Gaza uliharibu mipango yote ya Israel
Hojjat-ul-Islam wal-Muslimeen Arif Hussein Wahedi, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Mshikamano wa Kitaifa la Pakistan amesisitiza katika taarifa yake kwamba, Taifa la Palestina liliharibu kabisa…
-
KiswahiliUzalishaji wa mawazo sehemu muhimu ya shughuli za Seminari (Hawza)
Mkuu wa Jumuiya ya Walimu wa Seminari (Hawza) ya Qom alisisitiza juu ya haja ya uwepo wa utafiti wa kimfumo katika seminari na akasema: “Uzalishaji wa mawazo ni sehemu muhimu ya shughuli za seminari(H…
-
Makamu wa Rais wa Mawasiliano na Masuala ya Kimataifa ya Seminari:
KiswahiliMtiririko wa Haki ya kujitayarisha kwa matukio ya kudhihiri
Imesisitizwa katika riwaya kwamba Wazayuni wataangamizwa kwa Mapinduzi haya, Waislamu na Wafuasi na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s) watapata izza na utukufu na itibari, na Serikali hii ndiyo itayokuwa…
-
KiswahiliMshauri wa Katibu Mkuu wa Hezbollah amekosoa vikali kimya cha Jumuiya ya Kimataifa kwa Wazayuni kuvunja makubaliano
Hossein Al-Mousavi amesema: "Wazayuni wanaua raia wasio na hatia katika Miji ya Houla, Al-Khayam, Maroun El Ras, Eita na maeneo yote ya Kusini, Lebanon na Palestina."