Wazayuni (4)
-
KiswahiliMaoni ya Imam wa Ijumaa wa Najaf al-Ashraf kwa uamuzi wa Trump wa kuingilia masuala ya Iraq
Hojjat al-Islam wal-Muslimeen Sayyid Sadr al-Din Qbanchi, amesema: Ombi la Marekani la kuwafukuza watu wa Gaza, na kuiomba Jordan na Misri kuwapokea, halikubaliki.
-
KiswahiliMhubiri wa Kiroho wa Lebanon: Mpango wa Amerika wa kuwahamisha watu wa Gaza ni jaribio la kuunda janga jipya
Mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Tiro na vitongoji vyake amesema: Mpango wa Marekani wa kuuacha mtupu Ukanda wa Gaza kwa kuwahamisha wakaazi wake hadi nchi jirani ni jaribio la kuunda janga jipya.
-
Makamu wa Rais wa Mawasiliano na Masuala ya Kimataifa ya Seminari:
KiswahiliMtiririko wa Haki ya kujitayarisha kwa matukio ya kudhihiri
Imesisitizwa katika riwaya kwamba Wazayuni wataangamizwa kwa Mapinduzi haya, Waislamu na Wafuasi na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s) watapata izza na utukufu na itibari, na Serikali hii ndiyo itayokuwa…
-
KiswahiliRipoti: Wazayuni wanawatesa mateka wa Kipalestina kabla ya kuwaachia huru
Baada ya kumalizika awamu ya nne ya kubadilishana mateka kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Muqawama wa Palestina, duru za habari zimearifu kuwa baadhi ya mateka wa Kipalestina wamejeruhiwa…