Hawzah/ Hadhrat Ayatollah Jawadi A'mouli amesisitiza umuhimu wa kuhifadhi sifa (heshima) ya Muumini na akasema: Heshima ya Muumini ni amana ya Mwenyezi Mungu. Heshima yake ni ya Mwenyezi Mungu,…
Imesisitizwa katika riwaya kwamba Wazayuni wataangamizwa kwa Mapinduzi haya, Waislamu na Wafuasi na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s) watapata izza na utukufu na itibari, na Serikali hii ndiyo itayokuwa…