Hawza / Hofu nzuri, ni kama vile kuogopa (adhama) ukuu wa Mwenyezi Mungu au Uadilifu wa kimungu, ni suala la kiasili. Matendo yetu yameandikwa na Malaika. Ikiwa akili itaishinda nafsi, Mwanadamu…
Kiasi (Wastani) katika Fikira za Kiislamu, ni zaidi ya pendekezo rahisi, ni Kanuni ya msingi katika nyanja zote za Maisha.