Marekani (8)
-
KiswahiliIran: Marekani haina haki ya kutupangia tufuate siasa gani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe akisisitiza kuwa, Marekani haina haki ya kutupangia tufuate siasa gani za kigeni.
-
KiswahiliYemen yaapa kujibu mashambulizi ya Marekani ambayo yameua raia 24
Harakati ya Ansarullah ya Yemen imeahidi kujibu uchokozi wa kijeshi wa hivi karibuni wa Marekani, kufuatia mashambulizi ya angani ya Marekani na Uingereza ambayo yalilenga maeneo kadhaa kote…
-
KiswahiliKhatibu wa Lebanon: Siku ya mazishi ya Syed Hassan Nasrullah ni siku ya kushindwa kwa mradi wa Wazayuni na Marekani
Sheikh Ali Yassin Ameli, Mkuu wa Jumuiya ya Wanavyuoni wa Tiro na maeneo ya jirani yake, alizingatia mahudhurio na uwepo wa watu katika mazishi ya Syed Hassan Nasrullah kuwa ni ishara ya utiifu…
-
KiswahiliMaoni ya Imam wa Ijumaa wa Najaf al-Ashraf kwa uamuzi wa Trump wa kuingilia masuala ya Iraq
Hojjat al-Islam wal-Muslimeen Sayyid Sadr al-Din Qbanchi, amesema: Ombi la Marekani la kuwafukuza watu wa Gaza, na kuiomba Jordan na Misri kuwapokea, halikubaliki.
-
KiswahiliMhubiri wa Kiroho wa Lebanon: Mpango wa Amerika wa kuwahamisha watu wa Gaza ni jaribio la kuunda janga jipya
Mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Tiro na vitongoji vyake amesema: Mpango wa Marekani wa kuuacha mtupu Ukanda wa Gaza kwa kuwahamisha wakaazi wake hadi nchi jirani ni jaribio la kuunda janga jipya.
-
Amiri Jeshi Mkuu katika mkutano wa kundi la Makamanda wa Jeshi la Anga na Ulinzi wa Anga:
KiswahiliMazungumzo na Amerika hayatasuluhisha tatizo lolote
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Kikao chake na Makamanda na kundi la wafanyakazi wa Jeshi la Anga na Jeshi la Ulinzi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza…
-
KiswahiliMashirika ya haki yaonya; Trump atarejesha marufuku dhidi ya Waislamu
Mashirika ya kutetea haki za kiraia nchini Marekani yameonya kuwa, amri ya utendaji iliyosainiwa na Rais Donald Trump siku ya Jumatatu inaweka msingi wa kurejesha marufuku ya wasafiri kutoka…