Hawza / Mwezi wa Ramadhani ulipokuwa ukiingia, Hadhrat Ali (a.s) alikuwa akielekea Kibla kisha anaomba dua namna hii: Eee Mwenyezi Mungu! Ufanye Mwezi huu kuwa mpya kwetu kwa usalama, imani,…
Hawza / "Itafute Dunia (itafute mali, pambana uwe tajiri uondokane na umasikini na ufukara,) kama kwamba hutokufa na utaishi milele duniani, lakini tenda (fanya amali njema) kwa ajili ya kuitafuta…