Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Mkutano wa karibu wa Ayatollah Alireza Arafi, Mkurugenzi wa Seminari nchini, umefanyika baina yake na Maprofesa na Wanafunzi wa Seminari ya Qom.
Katika Mkutano huu, ambapo manaibu na maafisa wa kituo cha usimamizi wa seminari pia walikuwepo, maprofesa na wanafunzi walijadili masuala yao na Ayatollah Arafi katika hali ya kirafiki.
Your Comment