Mkutano wa karibu wa Mkurugenzi wa Seminari nchini (Iran) na Maprofesa na Wanafunzi wa Seminari ya Qom umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa shule ya daraja ya juu ya Dar al-Shafa iliyopo Qom.
Mkuu na Wajumbe wa Baraza la Uongozi la Harakati ya Hamas wamekutana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumamosi hii asubuhi.