Hawza / Hofu nzuri, ni kama vile kuogopa (adhama) ukuu wa Mwenyezi Mungu au Uadilifu wa kimungu, ni suala la kiasili. Matendo yetu yameandikwa na Malaika. Ikiwa akili itaishinda nafsi, Mwanadamu…
Mjumbe wa Baraza Kuu la Seminari akisisitiza kwamba ujuzi haupaswi kutegemea dhana za kiakili pekee, alisema: Kujijua (kujitambua) si jambo la mtu binafsi tu, bali pia ni msingi wa kujenga jamii…