Kiasi (Wastani) katika Fikira za Kiislamu, ni zaidi ya pendekezo rahisi, ni Kanuni ya msingi katika nyanja zote za Maisha.
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Kikao chake na Makamanda na kundi la wafanyakazi wa Jeshi la Anga na Jeshi la Ulinzi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza…