Kuna makundi mawili ya watu: Ama ni ndugu yako katika dini, au anayefanana na wewe katika uumbaji; kwa hali yoyote, unapaswa kuheshimu haki zao.
Tafuta udhuru kwa neno na kitendo kibaya alichokifanya ndugu yako, na kama hukupata, mtafutie udhuru (ili asione haya).