Mkuu wa Jumuiya ya Walimu wa Seminari (Hawza) ya Qom alisisitiza juu ya haja ya uwepo wa utafiti wa kimfumo katika seminari na akasema: “Uzalishaji wa mawazo ni sehemu muhimu ya shughuli za seminari(H…