Katika siku kumi za mwanzo za Mwezi Mtukufu Ramadhani, Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al Haram, umepokea zaidi ya waumini milioni 25, idadi ambayo imevunja rekodi ya mahudhurio.
Hawza / Idadi kubwa ya Walowezi wa Kiyahudi wenye itikadi kali - huku vizuizi vikali vikiwa vimewekwa dhidi ya Waumini wa Kiislamu kuingia katika Msikiti wa Al-Aqsa - Walinajisi eneo hilo takatifu.
Hadhrat Ayatollah Javadi Amoli amesema: “Hata kufa mtu isipokuwa Shetani atamuita mmoja wa mashetani wake kumuamrisha kukufuru na kutilia shaka dini yake mpaka afe, kwa hivyo yeyote ambaye ni…