Imesisitizwa katika riwaya kwamba Wazayuni wataangamizwa kwa Mapinduzi haya, Waislamu na Wafuasi na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s) watapata izza na utukufu na itibari, na Serikali hii ndiyo itayokuwa…
Ayatollah Syed Mohammad Taqi Mudarrisi, mmoja wa Wanazuoni wa Iraq amesisitiza: Shinikizo linalozidi kuongezeka kwa Taifa kutoka kwa Mataifa, ni utangulizi wa faraja na ufunguzi unaokaribia kutokea…