Ayatollah Syed Yassin Mousavi alisema: Trump anawadharau watawala wa Kiarabu, lakini anapozungumzia Iran, anasema kuwa Iran ina nguvu kubwa. Anaiheshimu Iran pamoja na maonyesho (na majigambo)…
Ayatollah Nouri Hamedani akiashiria mapendekezo ya Imam Khomeini (r.a) kuhusiana na kuamiliana na watu amefafanua kuwa: Watu ndio jambo kuu (ndio asili) na kipaumbele cha kwanza cha viongozi…