Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ni bora zaidi kuliko Miezi mingine na Masiku yake ni Masiku Bora kuliko Masiku Mengine.
Wajumbe wa Baraza la Sera la Mkutano wa Kimataifa wa Tafsiri ya Tasnim walikutana na kujadilina na Ayatollah Al-Udhma Jawadi A'mouli.