Hawza / Hadhrat Ayatollah Makarem Shirazi amesema: Madhumuni ya kuumbwa Mwanadamu sio kuwa na utambuzi tu na uundaji wa Serikali ya dunia nzima, bali ameumbwa kwa madhumuni ya utekelezaji wa…
Ayatollah Nouri Hamedani akiashiria mapendekezo ya Imam Khomeini (r.a) kuhusiana na kuamiliana na watu amefafanua kuwa: Watu ndio jambo kuu (ndio asili) na kipaumbele cha kwanza cha viongozi…