Mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Tiro na vitongoji vyake amesema: Mpango wa Marekani wa kuuacha mtupu Ukanda wa Gaza kwa kuwahamisha wakaazi wake hadi nchi jirani ni jaribio la kuunda janga jipya.