Kifo cha heshima ni bora kuliko maisha ya kidhalili. Mauti ni bora kuliko kuhusishwa na udhalili, na udhalili ni bora kuliko kuingia Motoni.
Kiasi (Wastani) katika Fikira za Kiislamu, ni zaidi ya pendekezo rahisi, ni Kanuni ya msingi katika nyanja zote za Maisha.