Akisema kuwa Kutafuta Dunia na kusaka masilahi (kujinufaisha) ni mojawapo ya vikwazo muhimu vya kudhihiri (kwa Imam wa Zama a.t.f.s), mzungumzaji wa Madhabahu (Haram) ya Bibi wa Karama alisema:…
Profesa wa hawza na chuo kikuu na mtafiti wa Umahdi alisema: Umahdi ni suala la mazungumzo ya kimataifa; haliwahusu Shia pekee au hata Waislamu tu. Karibu katika dini zote na madhehebu zote,…