Ayatollah Bafqi, kama Hadhrat Yusuf (a.s), aligeuza gereza zima kuwa Shule ya Tauhidi, kwa mahubiri (mawaidha) na ibada yake, aliwaongoa wafungwa na hata kuwasilimisha Maofisa wa Kiyahudi na…
Yaliyoelezwa katika mikusanyiko ya riwaya mbalimbali ni haya kwamba ikiwa mtu hapo awali aliweka / aliunda mfumo wa kiungu, kisha akataka kurejea huko katika mfumo huo wa awali, tunajikinga kwa…