Hawza / Sayyid Naeem Abbas Abedi, Mwanazuoni Mkubwa wa Kidini na Mkurugenzi wa zamani wa Jamiat al-Muntadhir Amroha ya India, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73.
Mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Tiro na vitongoji vyake amesema: Mpango wa Marekani wa kuuacha mtupu Ukanda wa Gaza kwa kuwahamisha wakaazi wake hadi nchi jirani ni jaribio la kuunda janga jipya.