Imesisitizwa katika riwaya kwamba Wazayuni wataangamizwa kwa Mapinduzi haya, Waislamu na Wafuasi na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s) watapata izza na utukufu na itibari, na Serikali hii ndiyo itayokuwa…
Sambamba na sikukuu za Shabaniyyah / Mwezi wa Sha'ban zinazosadifiana na Siku 10 za Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika uwanja na eneo la Haram Tukufu ya Imam Ridha(a.s), ambapo maeneo yote…