Msuguano baina ya Marekani na Afrika Kusini umeendelea kutokota, baada ya Washington kumtangaza Balozi wa nchi hiyo ya Kiafrika mjini Washington, Ebrahim Rasool, kuwa mtu asiyetakiwa, kufuatia…
Afrika Kusini imesema kwamba "Israel inatumia njaa kama silaha ya vita" huko Gaza kwa kuzuia misaada ya kibinadamu kufika eneo hilo tangu Jumapili iliyopita.