Kuwatendea wema wazazi wawili (baba na mama) ni katika maarifa ya mja kwa Mwenyezi Mungu, kwani hakuna kitendo cha ibada kilicho cha haraka zaidi katika kupata radhi za Mwenyezi Mungu kuliko…