Nchini Tanzania, kusadifiana kwa Ramadhani na Kwaresima kwa wakati mmoja kumewaleta Waislamu na Wakristo pamoja, wakishiriki kufunga na kutafakari.