Mkuu na Wajumbe wa Baraza la Uongozi la Harakati ya Hamas wamekutana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumamosi hii asubuhi.
Hadhrat Ayatollah Makarem Shirazi alisema: Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ulisababisha mtazamo wa kijamii na kiserikali uliofichwa nyuma wa Fiqhi ya Shia kuwa shupavu. Kwa ushindi wa Mapinduzi,…