Mwenyezi Mungu (10)
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na mbili
Ee Mwenyezi Mungu! Nipambe katika mwezi huu wa Ramadhani kwa sitara yaani (vazi) la kukuogopa, na Unisitiri katika mwezi huu kwa vazi la kukinai na kutosheka, na Unielekeze katika mwezi huu kwenye…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na moja
Ee Mwenyezi Mungu! Nijaalie nipende sana kutenda mema katika mwezi huu, na Unichukizishe katika mwezi huu kutenda maovu na uasi. Unikingie katika mwezi huu hasira zako na moto kutokana na msaada…
-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya saba
Ee Mwenyezi Mungu! Niwezeshe na Unipe Nguvu za kufunga (mwezi huu wa Ramadhani wote) na kusimama kwa ibada (zinginezo kama sala n.k.) na Uniepushe na matelezo mbali mbali na madhambi katika mwezi…
-
KiswahiliUsiache wajibu hizi mbili kubwa za Mwenyezi Mungu
Kwa hakika kuamrisha mema na kukataza maovu ni faradhi mbili kubwa, kwazo faradhi husimamishwa.
-
Afisa wa vyombo vya habari vya Seminari na Kituo cha anga za juu alitangaza:
KiswahiliKupanua shughuli za shirika la habari katika lugha 11 / Hitaji la kuimarisha zana za vyombo vya habari vya ndani ili kukabiliana na udhibiti wa kimataifa
Leo, habari za Seminari (Hawza) zinachapishwa katika lugha 11, na Mwenyezi Mungu akipenda, ifikapo mwisho wa mwaka, tovuti za lugha hizi zote zitaamilishwa kikamilifu.
-
Hadithi ya leo:
KiswahiliTafuta maarifa juu ya Mwenyezi Mungu katika radhi za wazazi wawili
Kuwatendea wema wazazi wawili (baba na mama) ni katika maarifa ya mja kwa Mwenyezi Mungu, kwani hakuna kitendo cha ibada kilicho cha haraka zaidi katika kupata radhi za Mwenyezi Mungu kuliko…
-
Hadithi ya leo:
KiswahiliTambua haki za watu na uzitekeleze
Daraja (cheo) ya juu mbele ya Mwenyezi Mungu ni ya mtu anayetambua haki za watu na akafanya juhudi zote kutimiza haki zao.
-
Ayatollah Mahmoud Rajabi katika somo la maadili (Akhlaq):
KiswahiliUsiweke kikomo maarifa kwa dhana za kiakili
Mjumbe wa Baraza Kuu la Seminari akisisitiza kwamba ujuzi haupaswi kutegemea dhana za kiakili pekee, alisema: Kujijua (kujitambua) si jambo la mtu binafsi tu, bali pia ni msingi wa kujenga jamii…
-
Ayatollah Araki katika Kongamano la Mafundisho ya Umahdi:
KiswahiliKuanzisha Jamii ya Haki-Jumuishi ni Ahadi ya Mwenyezi Mungu isiyoweza kukiukwa
Mjumbe wa Baraza Kuu la Seminari (Hawza) za Kitheolojia alisema kwamba kuanzishwa kwa jamii ya uadilifu wa Ulimwengu wote katika Sayari ya Dunia ni mojawapo ya mila za kimungu zisizoweza kukiukwa…
-
KiswahiliUtimilifu wa Utabiri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu hatima ya vita vya Gaza
"Mwenyezi Mungu atauonyesha ushindi huu kwa Umma wote wa Kiislamu katika siku za usoni zisizo mbali sana, na utazifanya nyoyo za watu wa Palestina na watu waliodhulumiwa wa Gaza kuwa na furaha…