Mapinduzi (9)
-
KiswahiliMkutano wa Wanasayansi, Wataalam na Maafisa wa Tasnia ya Ulinzi ya nchi na Kiongozi wa Mapinduzi
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo asubuhi katika kikao na Wanasayansi, Maafisa na Wataalamu wa sekta ya ulinzi, akisisitiza kuendelea kwa ubunifu wa maendeleo ya ulinzi, ameyataja…
-
KiswahiliRipoti ya Picha | Wananchi wa Iran katika Maandamano ya "Bahman 22"
Mahudhurio makubwa na ya kustaajabisha ya watu wa Iran katika Maandamano ya "Bahman 22".
-
KiswahiliJumuiya ya Walimu wa Seminari kuunga mkono onyo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu mazungumzo na Marekani
Jumuiya ya Walimu wa Seminari ya Qom ilisema: Onyo zito la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu kufanya mazungumzo na Marekani kwa hakika ni agizo kwa Serikali na lazima lifuatwe na kutekelezwa…
-
Kiongozi wa Mapinduzi katika Mkutano na Mkuu na Wajumbe wa Baraza la Uongozi la Hamas:
KiswahiliUshindi wa Palestina ni wa hakika kutokana na Fadhila na Neema ya Mwenyezi Mungu / Vitisho vya Marekani havina athari kwa Taifa na Maafisa (Viongozi) wa Iran
Mkuu na Wajumbe wa Baraza la Uongozi la Harakati ya Hamas wamekutana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumamosi hii asubuhi.
-
Ayatollah Makarem Shirazi:
KiswahiliMapinduzi ya Kiislamu yalifanya mtazamo wa kijamii na kiserikali wa Fiqhi ya Shia kuwa ya ujasiri
Hadhrat Ayatollah Makarem Shirazi alisema: Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ulisababisha mtazamo wa kijamii na kiserikali uliofichwa nyuma wa Fiqhi ya Shia kuwa shupavu. Kwa ushindi wa Mapinduzi,…
-
KiswahiliUtimilifu wa Utabiri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu hatima ya vita vya Gaza
"Mwenyezi Mungu atauonyesha ushindi huu kwa Umma wote wa Kiislamu katika siku za usoni zisizo mbali sana, na utazifanya nyoyo za watu wa Palestina na watu waliodhulumiwa wa Gaza kuwa na furaha…
-
KiswahiliUjumbe wa rambirambi wa Kiongozi wa Mapinduzi baada ya kifo cha Hojjat-ul-Islami Saqai Biyria
Ayatollah Khamenei, katika ujumbe wake, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Hojjatul Islam, Haji Sheikh Mohammad Nasser Saqai Biyria.