Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekubali ombi la Mkuu wa Vyombo vya Mahakama la kusamehewa au kupunguzwa na kubadilisha hukumu kwa ajili ya zaidi ya watu elfu tatu waliotiwa hatiani…
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, alitembelea makaburi ya Imam Khomeini (RA) na mashahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu leo Alhamisi asubuhi.
"Mwenyezi Mungu atauonyesha ushindi huu kwa Umma wote wa Kiislamu katika siku za usoni zisizo mbali sana, na utazifanya nyoyo za watu wa Palestina na watu waliodhulumiwa wa Gaza kuwa na furaha…