Katika hotuba yake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Makamanda waliouawa kishahidi, Sheikh Naeem Qasim alisema: Haji Imad Mughniyeh alikuwa mtu wa usalama na kijeshi na mvumbuzi, na aliwaongoza Mujahidina…
Katibu Mkuu wa Hezbollah ya Lebanon atatoa Hotuba hii leo kuhusiana na matukio ya hivi karibuni katika eneo la kikanda na juu ya mazishi ya Syed Hassan Nasrullah.