Saturday 15 March 2025 - 12:00
Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na nne

Ee Mwenyezi Mungu! Usinihukumu/kunilaumu kwa makosa, katika mwezi huu, Uniepushe na kunipunguzisha na makosa na matelezo, na wala Usinifanye lengo la balaa na maafa katika mwezi huu, Kwa Utukufu wako Ewe Utukufu wa Waislamu.

Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na nne:

اللّهُمَّ لَاتُؤاخِذْنِی فِیهِ بِالْعَثَراتِ، وَأَقِلْنِی فِیهِ مِنَ الْخَطایا وَالْهَفَواتِ، وَلَا تَجْعَلْنِی فِیهِ غَرَضاً لِلْبَلایا وَالْآفاتِ، بِعِزَّتِک یا عِزَّ الْمُسْلِمِینَ.

Ee Mwenyezi Mungu! Usinihukumu/kunilaumu kwa makosa, katika mwezi huu, Uniepushe na kunipunguzisha na makosa na matelezo, na wala Usinifanye lengo la balaa na maafa katika mwezi huu, Kwa Utukufu wako Ewe Utukufu wa Waislamu.

Sikia

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha