Shirika la Habari la Hawza - Imamu Hassan Askary (a.s) amesema:
«ما تَرَكَ الحّقَ عَزيزٌ إلاّ ذَلَّ وَ لا أَخَـذَ بِهِ ذَليلٌ إلاّ عَـزَّ.»
"Hakuacha haki mwenye izza (heshima) isipokuwa alidhalilishwa, na dhalili hakuchukua haki isipokuwa alipata izza (heshima)."
Tuhaf al-Uqul, Jz, 1 uk 489
Your Comment