Sunday 9 February 2025 - 13:37
Kuwa jirani mzuri

Kuwa jirani mzuri hakuna maana ya kutomuudhi jirani, bali ujirani mwema (mzuri) ni subira yako kwa maudhi ya jirani.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la "Hawza", Imamu Kadhim (a.s) amesema:

«لَيْسَ حُسْنُ اَلْجِوَارِ كَفَّ اَلْأَذَى وَ لَكِنْ حُسْنُ اَلْجِوَارِ صَبْرُكَ عَلَى اَلْأَذَى.»

"Kuwa jirani mzuri hakuna maana ya kutomuudhi jirani, bali ujirani mwema (mzuri) ni subira yako kwa maudhi ya jirani."

Al-kafi, Jz 2, uk 667

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha